AJITWIKE MSALABA-DON BOSCO

 



Ajitwike Msalaba

Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 4,416 | Umetazamwa mara 11,364

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

LUKA 9:23 - 26 COMPOSER LUCAS MLINGI

DON BOSCO CHOIR

ST THERESIA - ARUSHA

JANUARY 2002

Mtu yeyote akitaka kunifuata ajikane na ajitwike, Msalaba ajitwike msalaba wake, Msalaba ajitwike msalaba wake

1.     Anifuate nami nitamuongoza katika maisha ya raha na taabu

2.     Atakaye kuiponya nafsi yake na waambieni ataiangamiza

3.     Atakayeiangamiza nafsi yake kwa ajili yangu ataisalimisha

4.     Yafaa nini kuupata uliwengu mtu kujiangamiza au kujipoteza

Post a Comment

Previous Post Next Post

About Author